ebook img

WALITAKA GIZA WAKAIZIMA NURU PDF

290 Pages·2021·1.3672 MB·other
Save to my drive
Quick download
Download
Most books are stored in the elastic cloud where traffic is expensive. For this reason, we have a limit on daily download.

Preview WALITAKA GIZA WAKAIZIMA NURU

Description:
Siasa za kiafrika zimejaa kangaja. Mzalendo mmoja anapoingia katika mfumo wa siasa kama Rais, anabaini kile kinachowafanya viongozi wengi kutofanya lolote la maana katika kuziendeleza nchi zao. Anachobaini ni kuwa, nchi yake ilishauzwa kwa siri na watangulizi wake. Mikataba aliyokabidhiwa inamnyima uhuru, anapoamua kubadili mfumo kwa jeuri, anajikuta katika kivumbi cha kutaka kuuawa. Atafanya nini angali kaapa kutumika, na nchi yenyewe ni miliki ya taifa la Amerika kwa siri? Sasa ni moja tu linamkabili, kifo ama akubali kuiibia nchi yake mwenyewe.

Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu Vitatu kuhusu kadhia hii ya kisiasa.

See more

The list of books you might like

Most books are stored in the elastic cloud where traffic is expensive. For this reason, we have a limit on daily download.