Wenye Azma Thabit Miongoni mwa Mitume Juzuu ya Pili ni kitabu kilichoandaliwa na Al Mustakshif Abu Manal Danah chenye kuwaeleezea Mitume wawili wa Allah Subhanah wa Ta'ala ambao ni wenye azma kubwa zaidi ambao in Nabii Isa Ibn Maryam Alayhi Salam na Nabii Muhammad Salallahu Alayhi wa Salam.