ebook img

Historia ya Dunia ya Kale PDF

342 Pages·1988·19.529 MB·Kiswahili (Swahili)
Save to my drive
Quick download
Download
Most books are stored in the elastic cloud where traffic is expensive. For this reason, we have a limit on daily download.

Preview Historia ya Dunia ya Kale

A A Kenia . N. NA v Tai e U EAwAaAnLiI A y ui Y. Aa aa AWESAAAaAA AA A “ EFE Korovkin OAHistoria | ai ya Dunia ya Kale YALIYOMO Kielelezo cha Historia ya Dunia ya Kale. ...... Jinsi Inavyopasa Kukitumia Kitabu Hiki cha Ma- somo . IA IA iii Aa l, MAISHA YA BINADAMU WA AWALI SURA I. WACHUMAJI NA WAWINDAJI WA AWA 16 1. Binadamu wa Zama za Mwanzoni Wali- kuwajeana jWi aliishi, 16 - Ujima wa Nasaba wa Wawindaji ..... 19 . Uibukaji wa Sanaa na Imani za Kidi- ui AUA AA LA UANI 24 II. WALIMAJI NA WAFUGAJI WA AWA ii 28 . Mwanzo wa Ufugaji na Ulimaji ..... 28 . Usawa Miongoni mwa Watu Waanza Ku- toweka ii WA iIiI A 32 38 MASHARIKI YA KALE SURA ISE MIS IKWA SA aa 44 6. Tabia za Kimaumbile na Shughuli za Wa- kazirwaji Misri ya Kale im MA Uchomozaji wa Matabaka Katika Misri ya Kai UA AA aa 8: Uundikaji wa Serikali Katika Misri ya EA AOA 9. Uongozi wa Serikali na Mapigano ya Mata- baka Katika Misriya Kale.......... 10. Kilele cha Enzi za Dola la Misri ya Kale na Uangamiaji Wako iii iia ju Dini Katika Misri ya Kale wi 12. Uchomozaji wa Maarifa ya Kisayansi na Mwandiko wa Lugha Katika Misri ya Ka- AAWAN AL SA SURA IV. ASIA NDOGO HAPO KALE .... 14. Uchomozaji wa Matabaka Katika Eneo la Mitoza Mawili aa aa kaaa IAEA Madola ya Kale Katika Eneo la Mito Miwili na Ufalme wa Babeli ......->--: 83 Asia Ndogo Mnamo Nusu ya Kwanza ya 87 Miaka ya UU NAA WA . Utamaduni wa Mataifa ya Asia Ndogo Ha- po AA aa aa 92 V. BARAHINDI YA KALE ....... 99 . Barahindi ya Zama za Kutoka Miaka ya 3,000 mpaka Mwanzoni mwa Miaka ya 1,000 B.C. 99 , Kuundika na Kuendelea Mbele kwa Seri- kali na Madola ya Wenye Watumwa huko Barahindi Mnamo Miaka ya 1,000 AA WA Aa 103 . Utamaduni wa Barahindiya Kale ..... 106 ms makaka apo Bali ii 112 SURA NASUCHINA WA KALE ii. 117 - Uundikaji wa Dola la Kichina ........ 117 - Maasi ya Umma Katika Uchina ya Ka- le 121 126 UYUNANI YA KALE SURA VII, UYUNANI MNAMO ZAMA ZA MWANZONI 134 25. Maumbile na Wakazi wa Uyunani . 134 26. Ngano za Uyunani ya Kale 138 MYA Tenzi za Homero AA Wa wa Wa AA WA 142 28, Shughuli za Wayunani na Uchomozaji wa Mnamo Karne za 11-9 29. uen ani UzaU KKAi diAni Aza W aUyuAnan i WwAa T A Ka- 148 na SURA VUIIMII. LIUKUANJDII KAJI WA Mfu MKaO TA YAI wa 153 WATUMWA MOZAJI WA MIJI-MADOLAN A ucho. UYUNANI KATIKA MNAMO KARNE ZA 8-6 , ki NA z AA Ua 30-31n,y e UuWnadtiukamjwia wkaa tSiekrai kKailhi ane Waa SAa UA 7 YIUAOOMS UAUOSWWA AOA Sz Serikali ya Wenye Watumwa ya Spar- ka 168 535; Uchomozaji wa Miji-Madola ya Wayunani Huko Kwao, Kadhalika Kwenye Pwani- pwani za Bahari ya Kati na Bahari Nyeu- Aa WAA Wa 173 SURA IK. MAENDELEO YA MFUMO WA UMILIKAJI WATUMWA KATIKA UYUNANI. NA UKWEAJI JUU WA ATHENE MNAMO KARNE YA 5 34 - Vita vya Uyunani na Uajemi ....... 35 - Utumwa Katika Uyunani Mnamo Karne ya BAAKA W AWI 36 - Nguvu na Utajiri wa Athene Mnamo Kati- kati ya Karne ya 5 BIG 37 - Demokrasi ya Wenye Watumwa ya Athe- Af IA AA UA AA AA II AA AI SURA K. USTAWI WA UTAMADUNI WA IS KIYUNANI MNAMO KARNE ZA 54 Bu AA WAA 38. Mwandiko wa Lugha na Elimu ya Shuleni. Michezo vya Olimpiki Sina 199 39. Sanaa ya Tamthilia ya Kiyunani ..... 203 40. Usanifu Ujenzi, Utengenezaji Sanamu na Uchoraji Picha Katika Elasi Mnamo Karne ya SB ia ai AA 209 41. Maendeleo ya Sayansi Katika Uyuna- AI WI Aa WA USA LA 216 SURA KI. UUNDIKAJI WA MADOLA YA KIYUNANI-KIMAKEDONIA KWENYE UPANDE WA MASHARIKI WA BAHA- RU YA KAENIaM A Ya 221 - Utuamaji wa Uyunani na Ukweaji Wake Chini ya Mamlaka ya Makedonia Mnamo Kame ya AB II 221 43. Uundikaji na Uvunjikaji wa Dola la Iskan- der wa Makedonia wi mia AA - Uchumi na Utamaduni wa Nchi za Mwa- mbao wa Mashariki wa Bahari ya Kati Mnamo Kipindi cha Kutoka Mwishoni mwa Karne ya 4 Mpaka Mnamo Karne ya UBU AA AA aa WA SA URUYMA IKAL E AlI WA JAMHURI YA SURA AA HINDI WAKE WA KUI- 240 TEKA ITALIA : 45. Urumi ya Kale na Uanzishaji wa Jamhuri 245 ya Urumi ; ; 46. Jamhuri ya Wateule Katika Urumi Mnamo Katikati ya Karne ya 3 B.C. y SURA EUKAJI WA JAMHURI YA SA KUWA DOLA LA WAMILIKA- JI WATUMWA LENYE NGUVU ZAIDI KWENYE BAHARI YA KATI 47. Mapigano ya Urumi na Kathago kwa ajili ya kuitawalia sehemu ya Magharibi ya Eneo la Bahari ya Kati 48. Milki Zilizotekwa na Urumi Mnamo Karne ya 2. B.C. 49. Umilikaji Watumwa Katika Urumi Mnamo Warnenya 2 naiya IIBiGi ia 50. Ufilisikaji wa Wakulima wa Italia na Mapi- gano Yao ya Kuwania Ardhi ....... DI Uasi wa Watumwa Chini ya Uongozi wa Spartako SURA KIV. UANGAMIAJI WA MFUMO WA KIJAMHURI WA SERIKALI ZA URU- MI. MAMLAKA YA URUMI MNAMO KIPINDI CHA KUFIKIA KILELE CHA ENZI NA NGUVU ZAKE .......... 52. 53. Utekwaji Utawala na Kaizari ......... Mamlaka ya Urumi Chini ya Oktaviano a SURA Augusto na Watawala Waliomfuatia . ... NW, UTAMADUNI NA HALI YA MA- 3 NIMUMDSLWTIHAAA AKNW CAZAHK OLAAN ATYII AKK UAWMT AMTO WUAKARKAW UI AMJLMMIAAF WM UIHMSMUNNHROAOI KM NUOWIMA GP MKAaIMWKPAAIA -- 54, Sanaa ya Kirumi... 55. Rwaulmai MMknuaum o Zam: a zWa AMa mlakAaW Ay a Mta- SURA NWvIA. MUATMUALMABAKa JAI YAN aAU RAUUMA IN GkAiaM YIA :Ai Aa Ka AA Wa 56. Mwanzo wa Utuamaji wa Uchumi wa Umi- likaji Watumwa Mnamo Kipindi cha Ku- toka Mwishoni mwa Karne ya 2 Mpaka Mnamo Karne ya 3 MAIDA 297 - Udhoofikaji wa Mamlaka ya Urumi Mna- mo Karne ya 3 na Uimarikaji Wake Chini ya Utawala wa Diokletiano ....... 300 Uchomozaji,wa Waist MM 303 Kuchafuka Zaidi kwa Hali ya Mamlaka ya Urumi Mnamo Karne ya4......... 305 . Maangamizi ya Mamlaka ya Urumi ya Magharibi ia kai 309 Hakikisha Vile Ulivyoelewa Habari Muhi- mu Zaidi za Historia ya Dunia ya Kale .. 315 TAMATI UA UE 318 KIELELEZO CHA HISTORIA YA DUNIA YA KALE Neno historia latokana na lugha ya Kiyunani na kumaanisha “uchungu- zi” pamoja na “masimulizi ya matukio”. Kwa kufafanua zaidi isimu yake, historia ni elimu ichunguzayo vile maisha ya wanadamu yalivyokuwa tan- gu mwanzoni, jinsi gani kazi yao ilivyoigeuza sura ya dunia, tena vipi na kwa nini maisha yao yakawa yanabadilika kuja kuwa kama yalivyo sasa. Basi, nini kinachotujulisha juu ya vile wanadamu walivyoishi mnamo maelfu hata miongo ya maelfu ya miaka iliyopita? Jawabu kwa swali hili ni kwamba maisha ya wanadamu hayatokei pasina kuacha alama zake du- niani, ndiyo kusema kwamba, hayakosi kuacha “nyayo” zake. Na mi kwa kuzichunguza “nyayo” hizo, ndiyo wataalamu wanakuja jua habari za maisha hayo yenyewe kama yalivyokuwa mnamo zama zozote zile. “Alama Zilizokuja Kujieleza”. Mapema sana hata mnamo nyakati za kale kabisa, wanadamu walikuwa tayari wameshaanza kuandika habari za kazi yao, pamoja na mambo yaliyotukia maishani mwao. Waliandika juu ya Vyanzo vya Kuandikwa vya Habari za Historia. 1. Maandishi kwenye jiwe yali- yofanywa katika Misri ya Kale. Kushotoni—maneno mawili ya herufi zilizokuz- wa ya maandishi hayo. Ni kugunduliwa kwa maandishi haya ndiko kulikoweze- sha kuelewa kwa jumla mwandiko wa lugha ya Mirsi ya Kale. 2. Maandishi kwenye kipande cha udongo mkavu. 2. “Vitabu” vya Kirumi pamoja na kasha la mbao la kuvihifadhi. (Baadaye utajijulisha kwa ukamilifu na vyanzo vya al- na hiyo vya habari za historia.) UTA HAY

See more

The list of books you might like

Most books are stored in the elastic cloud where traffic is expensive. For this reason, we have a limit on daily download.