ebook img

Amphibians of the Taita Hills PDF

2009·7.3 MB·English
Save to my drive
Quick download
Download
Most books are stored in the elastic cloud where traffic is expensive. For this reason, we have a limit on daily download.

Preview Amphibians of the Taita Hills

Alama za maelezo mastakimu dimbwi © kidimbwi mto kijito © ndanimchangani/ chiniyaardhi mchana / usiku mchana © usiku msitu mgunda SANBI Biodiversity Series Amfibia wa milima ya Taita na G.J. Measey, P.K. Malonza naV. Muchai national biodiversity institute Biodiversity Series SANBI Biodiversity Series HalimashauriyakitaifayabioanuwaiyaAfrikaKusini(SANBI)ilianzishwatarehe mojaSeptemba2004wakati sheriayakulindamazingira: Inayozingatiamazingira (NEMBA) nambakumiyamwaka2004ilipotiwasahihinaraisThaboMbeki. Hii sheriainapanuamamlakayakilehalimashauriyakushughulikiamimeakuhusisha jukumulakuangaliawanyamanamimea yaAfrikaKusininainahushishamipango ambayoinatambuliwakwakulinda,kutafiti,kuelimishanahudumazawangeni iliyotayalishwanahalimashauriyakushughulikiamimeanamashilikatangulizikatika karneiliyopita. MaonoyaSANBI ni:WingiwabioanuwaikwakilamwenyejiwaAfrikaKusini. MwongozowaSANBInikupiganiautafiti,utunzi,matumizimwafaka,kuangaliana kufurahiwakwamsetowabionauwaikwawatuwote. Mfululi^owabioanuwaiwaSANBIhuchapisharipotizautafiti,technologia,kongamano namambonamiradimingineinayoanzishwanaauinayotekelezwakwaushilikianona SANBI. Mhaririwakiufundi: GerritGermishuizen Mtindonampangilio: ElizmaFouche Mtindowajalanda ElizmaFouche Kitabuhikikunukuliwekamaifuatavyo MEASEY,G.J.,MALONZA,P.K.&MUCHAI,V.2009.AmphibiansoftheTaita Hills /AmfibiawamilimayaTaita. SANBIBiodiversitySeries12. SouthAfrican NationalBiodiversityInstitute,Pretoria. ISBN 978-1-919976-49-5 ©Publishedby: SouthAfricanNationalBiodiversityInstitute Obtainablefrom: SANBIBookshop,PrivateBagX101,Pretoria,0001 SouthAfrica. Tel: +27 12843-5000.E-mail:[email protected]:www.sanbi.org. PrintedbySeritiPrinting(Pty) Ltd,PO.Box24829,Gezina,0031 Pretoria. Utangulizi Maelezo Shukrani Bioanuwai HaliyaangaTaita Amfibia Kuangaa Makwapa Kuangua mojakwamoja Xenopnsborealis kichula machi. . Hemisusmarmoratns kichulanguwe. . Callulinadamda kingo’mbe Arthroleptisxenodactyloides kichulamagala . Amietophrynusgutturalis kiwandu Mertensophrynetaitana kiwandukitini. . Leptopelisconcolor kichula mudi. . . Ptycbadenamascareniensis kingele Ptychadenaanchietae kidadu Phrynobatrachusscheffleri magalamachi . . Amietiaangolensis kichulamoda . . Hyperoliusglandicolor kibarangela Kassinasenega/ensis kimori Chiromantispetersii kichulaifuwa . . Boulengernlataitana kilima mdawida Boulengemlaniedeni kilimamrota . . . Marejeleozaidi Vikundi na mashirika Kuhusuwaandishi Kielezo Utangulizi Kitabu hikininakarayaamfibiawanaopatikanakatikaMilimayaTaita. Amfibia nibaadhiyawanyamawasiojulikana sananapiahawavutii k\va sababu yamiiliyaoinateleza. Waopiani baadhiyawanyamawanaokabiliwanatishio la kunangamiakutokananamwingilio nawabinadamu. Kitabukitasaidia kuwafahamuamfibianaumuhimuwakuwalinda. Ni matarajioyangukuwa hikikitabukitawasaidiawasomaji kuanza kuwatambuaamfibianaumuhimu wakuyalindamazingirayao nahaswa misituyakiasili ambayoinategemewa na wengiwaviumbe hawa. Natumai kuwautapatakujivunia (kamaninavyo) kwa kufahamu kuwawanyamahawa hupatikana tuTaita na sio mahalapengine ULIMWENGUNI KOTE. Tunaishimahalipenyeutajirimwinginapa kuvutia ambapo penginepalikuwa pazurizaidi kablahatujaukatamsituwa kiasiri. Kulingananawanasayansi MilimayaTaitaimepoteza zaidiyaasilimia tisaini na naneya musitu katika kipindi chamiaka200iliyopita. Niwajibuwetu kuonakuwahakunauharabifu mwingine unaotokealakini mjaribukurejesheumaridadiwahii sehemukadri tunavyoweza. Hiipiaitakuwani faida kwem kwanjiakadhaakamakupata majizaidi,kuimalikakwa mavunoyachakula napiakulindauhaiwai huu tunao wakipekee. Bidiinakujitoleakwawaandishi kumezaamatundayakaziiliyo kamilika na kwahakikaitakuwaya manufaakwawasomaji. James Mwang’ombe ProjectCoordinator The EastAfricanWildLife Society 10 October2008 Maelezo Kalendahii inaonyeshamabandiliko yamwezik\vamweziyamvua na jotokwavivulivya samawati na nyekundu. Mishoroifuatayo inaonyeshawakati kiumewanaita, wakatimayainaviluwiluwi wanapadkana, namwishowakad churawazimaupadkana Urefuwawastaniwakiume nakike imepewanakwakulinganishana kiasichamkonowakawaida. Chura mnaowapatawawezakuwawadogo amawakubwakulikokiasichawastani Ramani hii inaonyesha sehemu ambazo tumewapata ainahiziza amfibia. Inawezekana kuwapata sehemuzingine na tunawapa changamotomuwatafute! V Shukrani Tunashukuru shirikala“CriticalEcosystemPartnership Fund” kwa uchapishajiwahiki kielezo. CRITICAL EqosySTEM PARTNERSHIP FUND Ivimetafsiriwatoka kingerezahadikiswahili naAhmedOmar (Makavaziya kitaifayaKenya). Tunamsukuru SanaMuthamaMuasya (Chuo kikuu cha CapeTown) kwa usaidiziwake kwenye sehemaya swahili Mwenyepicha: Pichazote zime tolewanamwandishiwakwanzaisipokuwa: Ukurasa 3: Mwangi Githuru: TUrdusbelleri Ukurasa 8: CesarBarrio: Salamandraalgira Ukurasa23: AnthonyHerrel: Callulinadawidaalama Ukurasa49: Alan Channing: A-tnietiaangolensis Ukurasa54: Alan Channing: Kassinasenegalensis Ukurasa71: KrystalTolley: Homo sapiensJM vi SANBI Biodiversity Series 12 (2009) Bioanuwai Bioanuwai ni tamko linalo onyesha kuishi katika sehemu hii. Katika tarakimu za ainayaviumbewalio kipindi hiki kirefu hali ya anga katika sehemu fulani. Katika haikuwa imara kwa ajiri ya kupitia sehemu za nchi zilizoendelea misimu mingi ya unyevunyevu na tarakimu zaviumbe hujulikana kwa kiangazi, kila mojaikidumu miaka maanawanabiologiawamekuwa elfu nyingi. Matokeo vake ikawa wakifanya utafiti kwa muda ilihaii ya kwamba sehemu za chini za sehemu zingine hazijafanyiwa milima zilifanyika misitu (wakati utafitiwa kutosha na huwa na wa mvua) na tena kufanyika nyika bioanuwai isiyojulikana kiwango (wakati wa kiangazi). Milima ya chake. Katika mwaka wa 1999 Ukanda wa Mashariki ilikaa msitu wanasayansiwalichunguza kwa muda huuwote, kwa hivyo mielekeoya bioanuwai duniani misitu ikawa inashikana wakati na kuamua kuwa eneo zingine ni wa mvua na kutenganawakati wa speshelina zina idadi kubwa ya kiangazi. Hii ilipea nafasiwanyama viumbe kwenye sehemu kidogo. na mimea inayoishi katika misitu Haya maeneo yanajulikana kama kutembea na kuenea kati ya milima ‘Maeneo makuu ya Bionanuwai’. na kutenganawakatiwa kiangazi. Katiya maeneo makuu 12ya Ebu fikiria kama lile eneo lote bioanuwai yaliyotabuliwa moja lilikuwa na sasa hawawanyama linaitwa ‘Ukandawa milima ya wotewanasukumwa katika sehemu mashariki na misitu yapwani’ za misitu juu ya milima! katikaAfrika Mashariki. Saa hii, tunaishiwakatiwakiangazi Eneo la ukandawa milimaya ulimwenguni na nyikahuwa kizingiti mashariki linaanzia kule Udzungwa chawanyamana mimeawotewa huko mbali Kusini mwaTanzania msitukutowezakutembeakatiya mpaka MilimayaTaita, Kusini milimayaUkandawaMashariki. mwa Kenya. Milima katika hii Inaaminika kuwamabadiliko mengi sehemuinaumri mmoja (karibu yakuungana nakuachana kwa miakamilioni mia mbili) na Milimava UkandawaMashariki imekuwaikitega mvuainayotoka ilichangia kuwepokwaidadi kubwa Bahari Hindi. Hii inamaanisha ya ainayaviumbewanaopatika katika kuwa hii milima imeweka joto na eneo hilimaalum labioanuwai. haliyaunyevu ambao huhitajikaili Wakati huu (nawakatiwa kiangazi kutunza misitu ya kiasri mamilioni hapo mbeleni), MilimayaUkanda yamiakakablayawanadamu waMasharikiimekuwa hifadhiya 1 SANBI Biodiversity Series 12 (20091 Sehemuzilizokuwazimefunikwanamisitusasanitupunazinavijisehemutukidogozenyemitiya kingeni. maelfuyawanyamanamimeawa ainatofautiambao hawawezikuishi nyikani. Hiimilimanikamavisiwa vinavyozungukwanabahariyanyika. Kwavile aina tofautizawanyama namimeawametengwakwamaelfu yamiaka, hawaviumbewamekuwa speshelinawengihupatikana kwenyesehemuzajuuza kilamlima. MilimayaUkandawaMasharikiina viumbewengineambao hawapatikani mahalipengineulimwengunina katiyawanyamawotewenyeutiwa Sehemuzachinikatikatimvvamilimayaukanda mgongo niamfibiaambao niwengi, wamashariki,mvuaniyakiwangochachini. pengine ndiowengi kabisaAfrika.

See more

The list of books you might like

Most books are stored in the elastic cloud where traffic is expensive. For this reason, we have a limit on daily download.